Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
Aiseee.
Aiseee.
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya tutaona endelea kubamba tu.Utasubiri sana...namalizia magazeti hapa...
naelewa ,mfano kuulinda uhuru ni gharama sana🙂Uhuru una gharama zake...
Usijali zipo nyingi tu hapa.Sawa nitakutengezea bure kabisa..ila uje na sanitizer nimeishiwa nipe nikupe
🤣🤣🤣 Unasubil nn mzee apo go ahead tu maana hamna namna 🤔🤔🤔
Vingi ndio vipoje hivyo embu weka tangazo hapa watu tuuwane saiz usiku [emoji23]Hahaha nna vingi we acha tu
[emoji4][emoji23][emoji23] hapana boss sio utapeli nipe hela nitanunua mwenyewe mbele ya safari hiyo hasubui[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona naona kama unaleta utapeli sasa bibie.
😄😄nani huyo?
Sasa ww siunapenda nyama ya kusaga mifupa tuache sisi mafisi [emoji23]Usifananishe kuku na ng'ombe wenye kichaa [emoji3][emoji3]
Ile ya alliance global eeh?Basi nitakuja na chocolate yangu kwajili ya chai asubuhi.
Mpe salamu zangu ila najua tu umenibania[emoji4][emoji4][emoji4]
2000 tu [emoji41][emoji4][emoji23][emoji23] hapana boss sio utapeli nipe hela nitanunua mwenyewe mbele ya safari hiyo hasubui
Kwani ulipanga kunipa shingaa[emoji54]
Nitashukuru sanaUsijali zipo nyingi tu hapa.
Mtaiba sufuria yanguUngetupa na ka picha tung'ang'aniane ilo sufuria apa
Humo humo nakuja na yamkate kabisa shughuli iishe.Ile ya alliance global eeh?