Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,983
- 6,784
Poa kamanda naona mambo yanaendaVp buddy?
Poa kamanda naona mambo yanaendaVp buddy?
Nimekula wali kabichiVipi na ww umekula kande au?
Fanya saa 8 basi?Nilijiambia nitalala saa 6 kamili ona sasa sahii saa 7
😁😁😜Afu usingizi wa kanisani unakuwaga mtamu...shetani huyu
Tupo tupo tutaanza kuondoka mmoja baada ya mwingineHamlali?
Zikifikaga hapa ....nasinzia vizuri sanaIla ukiwa club muda kama huu hulali ndio kumekucha![]()
Yes kibobo...Buza sijawahi fika
Mbagala inategemea ni Mbagala ipi...Mbagala kurasini kule kumepangika (yan igawanje ile Zakhem pale huu upande wa Dar live kwa chini kidogo pamepangika acha kabisa.
Ukija ule upande wa Hosp pako hovyo hovyo tu

Kila wakati, uko vizuri na ww lakini?Mungu ni mwema
Acha tukimbize muda huuPoa kamanda naona mambo yanaenda
Asubutuu 😂😂😂Fanya saa 8 basi?
Hakijabaki kiporoNimekula wali kabichi
nije nipasheNazile kelele unasinziaje kwa mfano?Zikifikaga hapa ....nasinzia vizuri sana
Niko poa kabisaKila wakati, uko vizuri na ww lakini?
Fanya hivyo sasa ongeza Lisaa hapo kesho unaenda wapi na corona hii we mwanamke?Asubutuu![]()
Yapu Yapu na ka mvua haka mpak saa 12 sijui kama Leo ntatoboa ozone 😁😁Acha tukimbize muda huu
Noma Sana alikua anatisha MkuuAnalala kama sungura huyo mwalimu anajua ajalala kumbe mtu wa juzi.



Vizuri, umeshajifukiza lakini?Niko poa kabisa

Usirudie kusema hivi na hii serikali yako inayopangua maeneo kila kukicha.Mmmhh depal kurasini isn't belong to mbagara at least useme kijichi tena hii ipo mtoni but iko karibu mbagara,Kijichi is good place imepakana na bahari
.
Ooohky kibo
Kwann mvua itakuletea usingi mapema?Yapu Yapu na ka mvua haka mpak saa 12 sijui kama Leo ntatoboa ozone![]()
Nipo hapa jamaa. Nilikwenda kutafuta wa kunipa kampaniKaribu jombaa