Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
Hapa nilipo me mwenyewe nahisi njaa 😄😄Hakijabaki kiporo [emoji17] nije nipashe
Hapa nilipo me mwenyewe nahisi njaa 😄😄Hakijabaki kiporo [emoji17] nije nipashe
[emoji23][emoji23][emoji23]Noma Sana alikua anatisha Mkuu
.
Waze Show Kali Aisee Night Owls [emoji2936][emoji95][emoji2935]
Hivi we unaujua usingzii?Nazile kelele unasinziaje kwa mfano?
Hii wewe ni Friday hiiFanya hivyo sasa ongeza Lisaa hapo kesho unaenda wapi na corona hii we mwanamke?
Basi pakua tule asubuhi tutakula mihogo (chips dume)Hapa nilipo me mwenyewe nahisi njaa [emoji1][emoji1]
Swali gani sasa hili [emoji15] nauju ndio.Hivi we unaujua usingzii?
😄😄😄😄Basi pakua tule asubuhi tutakula mihogo (chips dume)
[emoji23][emoji3] nitaanza kesho wewe je?Vizuri, umeshajifukiza lakini? [emoji23]
Bangi ya usiku sio nzr lakini pakua huo msosi au umeunguza [emoji23]Hii wewe ni Friday hii
Yaap napenda sana ka saut ka mvua juu ya bati nikiwa nimelala 😁😁😂😂Sasa Leo nipo post mbaya kinouma 😳😥😥😭😭Kwann mvua itakuletea usingi mapema?
Teh...mida ya shift ya pili hii...
Nipo hapa jamaa. Nilikwenda kutafuta wa kunipa kampani
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Vitu navyokunywaga mimi vikifika level fulani tu napata usingizi ambao siwezi kuucontrolSwali gani sasa hili [emoji15] nauju ndio.
😁😁😂 Mvuke kama wote[emoji23][emoji3] nitaanza kesho wewe je?
[emoji23] Ulagi mihogo ww kwani uki plus na zile sambusa zetu za viazi inakuwa poa sana.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Njoo nikukabidhi silaha chiqutittaLeo nina mzuka wa kulinda hadi pakuchee[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42](na huku nasinzia )
Niko macho nasubiria mlale ndio nianze kuwalinda[emoji23] nazi kuna kitu kimekuamsha ww ulilala?
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanipumzishe kwanza natumia sanitizer tu hata mask sivai mm.[emoji23][emoji3] nitaanza kesho wewe je?
Za kupotea?Tupo tupo tutaanza kuondoka mmoja baada ya mwingine