Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Umetuachia janga ww ulikimbia mzee wangu.Nipo sana Tuuuuu!
Umetuachia janga ww ulikimbia mzee wangu.Nipo sana Tuuuuu!
Sasa hupajui Tabata we Dar unapajua wapi? Yule mtandale nilienda mpaka kwako. Mama ake akapika ugali samaki
Sio mbali wacha wenge. Mbagala-Taifa-Keko-Magomeni-Kanisani ushafika. Sema huo mkoa wenu umezidi foleni....


tumuache m'tandale na visingeli vyakYan hata sijui unatype kitu gani. My point was " njia rahisi ya kwenda kwa Tumbo ni ufike pale kanisani then kuna njia yao wenyewe huko wakazi wa kwa Tumbo na vidaladala vyao.Sikiliza Magomeni ipo kati ujue ukitokea Kinondoni kwenda Gerezani , Kimara na kivukoni na Magomeni kubwa sawa kanisani nikama unaenda Kinondoni mkwaju kutokea Magomeni kanisani na mwanamboka mpaka morroco huko.
Huko shule me nilienda once. Ni kubaya Buza pazuriTabata Barakuda, Tabata Segerea napajua tabata shule sipajui hata kwa macho, ndio kuna ile baa ya toroka uje ?
Siku upitilize njia uje kwa m'tegetatumuache m'tandale na visingeli vyak
Hiyo ya shortcut ya kanisa kwenda kwa tumbo mm sijuiYan hata sijui unatype kitu gani. My point was " njia rahisi ya kwenda kwa Tumbo ni ufike pale kanisani then kuna njia yao wenyewe huko wakazi wa kwa Tumbo na vidaladala vyao.
Hayo Morocco/ kkoo sijui yametoka wapi
Alicia Keys?Ndio






(na huku nasinzia )Mwanzo hukueleweka mara ukasema mwendokasi inaishia Magomeni ndio maana mwenzako akakuambia inaishia Morocco.Ndio useme hupajui, sio unanitoa mm kwa Tumbo unanipeleka Morocco kufanyaje. Na yenyewe ipo ukitokea Magomeni Hosp kabla hujafika Morocco.
Halafu atatokea Next Man atamix hizi Morocco.
Pumzika tu maana kushindana na usingizi sio kitu rahisi.Leo nina mzuka wa kulinda hadi pakuchee(na huku nasinzia )
Hamuelewi nyie kama mmekula kande 😀Mwanzo ukueleweka mara ukasema mwendokasi inaishia Magomeni ndio maana mwenzako akakuambia inaishia Morocco.
Nishawahi kusinzia nikamuacha mtu hewaniPumzika tu maana kushindana na usingizi sio kitu rahisi.
Kabisa lazima utakushinda tu mwenyewe nitajikuta nimelalaPumzika tu maana kushindana na usingizi sio kitu rahisi.
Dah huo msosi naumissHamuelewi nyie kama mmekula kande![]()
sijala kama miaka 2 hivi.Huko shule me nilienda once. Ni kubaya Buza pazuri
Tegeta nyuki au Kibaoni ama kwa Ndevu? Haha napatikana kuleee near to Rabininsia Hosp


Buza imekuzwa kutokana na umuhimu wake, short cut na Uchumi wake mzuri huwez fananisha buza na upuuzi kama tandale, mbagara 
Kufumbua tu macho unajikuta huwezi watu wanasinzia kanisani na zile kelele za maspika mchezo.Kabisa lazima utakushinda tu mwenyewe nitajikuta nimelala