JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji38][emoji38][emoji38]unatembeaga na nikabu nini
Kituo cha mwendokasi magomeni kanisani kipo kwenye kona na mteremko unapanda unaelekea kinondoni mkwajuni
Ulienda kufanya nini Kwa tumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko kwa Tumbo huko we acha tu, mapenzi ya Facebook 😂😂😂 na Tabata shule nako hovyo kule
Ila pic hapo kama Magomeni Usalama ikitokea Ubungo,kama Kanisani ukitokea Mbagala Usitusumbue
 
Back
Top Bottom