Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
๐๐๐๐๐๐ wanafunzi mnatabu.Bangi ya usiku sio nzr lakini pakua huo msosi au umeunguza [emoji23]
Hivi unaanzaje kuunguza chakula kama wali unaopikwa kwa gas? Nishapakua njoo
๐๐๐๐๐๐ wanafunzi mnatabu.Bangi ya usiku sio nzr lakini pakua huo msosi au umeunguza [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka uhisi ngozi inayeyuka[emoji16][emoji16][emoji23] Mvuke kama wote
Vuta shuka uzime na data alafu funga macho utapata usingizi mzee.Yaap napenda sana ka saut ka mvua juu ya bati nikiwa nimelala [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Sasa Leo nipo post mbaya kinouma [emoji15][emoji26][emoji26][emoji24][emoji24]
Sambusa za viazi unaenda mwaka wa pili huu sijaziona.[emoji23] Ulagi mihogo ww kwani uki plus na zile sambusa zetu za viazi inakuwa poa sana.
Wine?Vitu navyokunywaga mimi vikifika level fulani tu napata usingizi ambao siwezi kuucontrol
๐๐๐Nchi inavituko hii mpak raha[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka uhisi ngozi inayeyuka
Usirudie kusema hivi na hii serikali yako inayopangua maeneo kila kukicha.
Wacha Kurasini ya shimo la udongo ipo mbagala Kurasini mji mpya (usinisumbua google)
Umevaa barakoa lakini?? Mambo ya kukabidhiana haya![emoji52]
Leo halali mtu hapa kama mchaga na mpemba wakiwa chumba kimoja.Niko macho nasubiria mlale ndio nianze kuwalinda
Mkuu Nipo post ya hatare Leo nazan jicho nyanya mpak 12 kabsaaVuta shuka uzime na data alafu funga macho utapata usingizi mzee.
Hahahaha shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23] Wanipumzishe kwanza natumia sanitizer tu hata mask sivai mm.
Kwani ww hujui ajali kazini [emoji23][emoji23] nipe snap basi PM ya hiyo kitu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanafunzi mnatabu.
Hivi unaanzaje kuunguza chakula kama wali unaopikwa kwa gas? Nishapakua njoo
Nilikuwa nalinda kimya kimyaZa kupotea?
Usitie shaka chiqutitta mwili mzima nishaufanyia protection ya kutoshaUmevaa barakoa lakini?? Mambo ya kukabidhiana haya![emoji52]
๐๐๐Leo hatulaliNiko macho nasubiria mlale ndio nianze kuwalinda
Punguza mawazo jomba au kamatia gomaNahisi kichwa kizito tu bruh
[emoji23][emoji23][emoji23] Unapenda nyama ya kusaga ww?Sambusa za viazi unaenda mwaka wa pili huu sijaziona.
Nakula zile wanazojaza carrot na vitunguu halafu wanatudanganya ni za nyama
Yes..kuna moja inaitwa lion's hill (white ni glass ya kwanza ya pili usingizi huoWine?