JamiiForums Usiku wa manane
😂😂😂😂
Hujawahi hata ingia kwa soko kusaka vitambaa na vijora
Manzese kama Manzese sijawahi fika. Kariakoo kwenyewe ukinizungusha kidogo unaniachamo huko.
Baba akianza sasa "mnafanya nini mjini kama jiji hamlijui hapo kuna siku nilimuuliza Kigogo iko wapi 😀😀😀
Nikaona isiwe kesi ngoja nitafute mkoa nizamie.
 
Huko kwa Tumbo huko we acha tu, mapenzi ya Facebook na Tabata shule nako hovyo kule
Ila pic hapo kama Magomeni Usalama ikitokea Ubungo,kama Kanisani ukitokea Mbagala Usitusumbue


Wachaweee Mlifikia wapi na M'tandale wako ?? Tabata shule sipajui
Kwenye kituo cha BRT Magomeni usalama pembeni Kun jengo la Kuubwa ghorofa sijui utumishi limeandikwa Mbona mbagala mbali Sana na hapo kanisani
 
Wachaweee Mlifikia wapi na M'tandale wako ?? Tabata shule sipajui
Kwenye kituo cha BRT Magomeni usalama pembeni Kun jengo la Kuubwa ghorofa sijui utumishi limeandikwa Mbona mbagala mbali Sana na hapo kanisani
Sasa hupajui Tabata we Dar unapajua wapi? Yule mtandale nilienda mpaka kwako. Mama ake akapika ugali samaki

Sio mbali wacha wenge. Mbagala-Taifa-Keko-Magomeni-Kanisani ushafika. Sema huo mkoa wenu umezidi foleni....
 
Hivi ni wewe au nani alisema kwa Tumbo hakuna mwendokasi?
Jibu ni ndiyo. Na mwendokasi cheap wa kufika kwa Tumbo ni ule wa Magomeni kanisani
Sikiliza Magomeni ipo kati ujue ukitokea Kinondoni kwenda Gerezani , Kimara na kivukoni na Magomeni kubwa sawa kanisani nikama unaenda Kinondoni mkwaju kutokea Magomeni kanisani na mwanamboka mpaka morroco huko.
 
Back
Top Bottom