simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Ngoja na mimi wa nanjilinji nibahatishe..
Hiyo place ipo close na shekilango, naziona zile ghorofa pale mbele means vituo si vingi kufika hapo..
Ngoja na mimi wa nanjilinji nibahatishe..
Wewe mwendokasi upo wa Magomeni. Na kituo ni Kanisani then unapanda vidaladala vya kwa Tumbo sasa. Kule nilifikaga mwaka fulani mhh siwezi kuishi akii[emoji23]tandale kwa tumbo hamna mwendokas ujue ..Yeah Kuna road pale unachoma kulia unatokea tandale then Sinza..Hapafai kuishi kabisa Uswahili swahili nauogopa vibayaa [emoji38][emoji38]
Kesho uje na picha ya sehemu nyingineHapa ni Manzese Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lile Jengo kule mbele ni ya hotel ya BLUE PEARL ile karbu na Ubungo bus terminal
Picha imepigwa pale kwenye daraja [emoji38]
Umepona sasa naona?Si ndiyo maana nikasema ka mvua.
Umefeli hii haipo mbali sana na kkoo mzeeNgoja na mimi wa nanjilinji nibahatishe..
Hiyo place ipo close na shekilango, naziona zile ghorofa pale mbele means vituo si vingi kufika hapo..
[emoji38][emoji38][emoji38]unatembeaga na nikabu niniWewe mwendokasi upo wa Magomeni. Na kituo ni Kanisani then unapanda vidaladala vya kwa Tumbo sasa. Kule nilifikaga mwaka fulani mhh siwezi kuishi akii
Naomba nije kukupa kampanMkuwe na lindo jema wapendwa..kamvua haka jamani[emoji4]
Hilo ni janga tuombe tu Mungu
Hivi na ww ulikuwa unapenda kuoga mvua?
Swalama Sheikh Muddy
😀😀Umepona sasa naona?
Umefeli hii haipo mbali sana na kkoo mzee
Unatakiwa uje mjini mzee.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Ngoja nikarudi kulima
Hahaha huyo ndo katibu !!!
Nitakutafuta kwa sasa nahitaji kitu kingine kukifanya and it's driving me nuts .
Sent using Jamii Forums mobile app