Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Bonge la nyimbo [emoji91]
Bonge la nyimbo [emoji91]
Penyewe bana...Magomeni Kanisani sijui ndio kuna njia uko unazama kwa Tumbo ila kule asee heri nikaishi ChatoKwendrraaa sio [emoji1][emoji1]
Karibu sana🙋
Nilikuwepo.
Hahaha kwenye miaka 2008 ndo nilikuwa na akili hizo kweli kweliHakuna
Zamani enzi zipi.. fungua moyo ..nikufungulie dunia, uwe unachotaka [emoji4][emoji4]
Mpaka hapo ashaangukia puaPrivate Google map Super Villain usiniangushe
Hii picha ni tata sana lakini mm nasema hapa usalama mzee [emoji41]
Sio Magomeni hapaPenyewe bana...Magomeni Kanisani sijui ndio kuna njia uko unazama kwa Tumbo ila kule asee heri nikaishi Chato
Penyewe bana...Magomeni Kanisani sijui ndio kuna njia uko unazama kwa Tumbo ila kule asee heri nikaishi Chato
Nimeisha hiyo sehemu nitata kweli mzee wangu [emoji23]Private Google map Super Villain usiniangushe
Mpaka hapo ashaangukia pua
Nimeisha hiyo sehemu nitata kweli mzee wangu [emoji23]
Amna kaka sio banha [emoji38]Kinondon B
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwembe chai nakaaNdugu yangu huyu hajawahi kuniangusha japo anakaa manzese kwa mfuga mbwa
Kwa sasa siwezi tena kwa hiyo ndoto imekufa tayari ..Kitu huwa hakifi..kinajificha tu..kheri ufanye unachokipenda kuliko ubakie kusema NINGE