Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Kwanini mkuu, ulikuwepo kwenye azimio la beijing kwani.
Mbona nipo kwenye threads nyingine pia, ila tu huku huwa nakuja mara moja moja.
Nimeona hata mimi nitafikiria 😊😊Jana si nilikupa wazo lile,
Ukalipuuzia hapa kitonga hatatupa kazi kubwa huyu
Nimemchalleng sana leo hataki hata kuniona basi tu ninemuacha akalale kesho najua hata nikimbia kabisa.
Ingependeza sanaaaa aiseeNitakutagi mzee ikirudishwa hiyo taarifa niliona Twitter leo kwa clip ya video kabisa.
Haha, mie nilikuwa napigania ninachokiamini tu mkuu na siyo hilo azimio.Ulikuwa mpigani azimio humu jf
Karibu humu zaidi
Aisee!! Hii ndoto nimeipenda kweli...sijui niliotwaje Huko!Hiyo inatokeaga mkuu, kuna siku nilimuota No Escape wakati sijawahi kumuona wala sina mazoea nae kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwema vipi tuanze auKwema humu mjengoni
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Mapema sana mkuu
Just a roll call (rocall)Mapema sana mkuu
Salama tu habari ya hukoKwema humu mjengoni
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Salama tu mvua inaanza kwa mbali maeneo haya