Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Ee dawa ni nzuri kwa yale maelezo inanafuu sana soon mambo yatakaa sawa tu.Inaonekana wako vizuri kwenye utafiti
Ee dawa ni nzuri kwa yale maelezo inanafuu sana soon mambo yatakaa sawa tu.Inaonekana wako vizuri kwenye utafiti
Ahaaa Kumbe ile amsha asmha sio kiviiile kimtindo AusioHahaha,si usiku ningekuwa nachoka,nalala mapema


Leo unaratiba ya mpak sangapBora ipatikane tu,maisha yamekuwa ya hofuEe dawa ni nzuri kwa yale maelezo inanafuu sana soon mambo yatakaa sawa tu.
Sasa Gates kosa lake ni nn alafu ni more than two weeks wanamsema tu.Itakuwa more deadly.
Physicians lack knowledge and the general public compromise immunity by smoking, not eating organic food, and isolation which lowers the immune system.
Also vitamin D, vitamin A, and Vitamin C is essential for virus. Vitamin D desolves the membrane of this bacteria. Vitamin A hormone supports cell structure, supports thyroid.
Wengi wa Americans wanamchukia sana Gate sasa hivi
Hawa waleta mada za corona,huku tena ndo wananifukuza,nikitoka huku jf sijui nikatue wapi tenaAhaaa Kumbe ile amsha asmha sio kiviiile kimtindo AusioLeo unaratiba ya mpak sangap
Wajuba mmeona kwanini Africa vifo sio vingi? Jua ni muhimu sana the time mtaambiwa kaeni ndani is the time vifo vitaanza kuwa vingi.
Isolation na karantini zinasaidia sana angalia nchi kama Germany saiz wamefanya makubwa maambukizi yamepungua sana kwa siku wanapata victim 1 tu.Na kinachoua zaidi ni ma- ventilator yao.
Ventilators are a death sentence. They can burst causing further damage, because the lungs are being filled with liquid solution. About 80% of the people passed away, because of ventilators
High dose of vitamin c is the solution. Also vitamin D (sunlight) and vitamin A.
.
Wajuba mmeona kwanini Africa vifo sio vingi? Jua ni muhimu sana the time mtaambiwa kaeni ndani is the time vifo vitaanza kuwa vingi.
Hahahah Kwa kweli Mada za Corona zimekua nyingi Sana but worth itHawa waleta mada za corona,huku tena ndo wananifukuza,nikitoka huku jf sijui nikatue wapi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi 4 hii dunia imekuwa inateseka tu China uchumi umeshuka kwa 6%Bora ipatikane tu,maisha yamekuwa ya hofu
Hakuna mtu anayekubali kupata hasara saiz corona kaharibu kilakitu.Kudadeki zao marvel. Black widow wamepeleka November huko halafu Eternals wamepeleka feb 2020
Basi ngoja tuacheHawa waleta mada za corona,huku tena ndo wananifukuza,nikitoka huku jf sijui nikatue wapi tena
Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa uko State ipi ?Huku toka nije January sijaliona jua pakiwaki sana yani.
Nguvu kazi inapotea,watu wanapambana na uhai kwanza..kazi baadayeMiezi 4 hii dunia imekuwa inateseka tu China uchumi umeshuka kwa 6%
usingizi umekata kifua kinazingua, nipo naranda randa tu duniani hukuKwann?
KabisaNguvu kazi inapotea,watu wanapambana na uhai kwanza..kazi baadaye
Huna dawa ya kifua hapo utumie urudi kulala?usingizi umekata kifua kinazingua, nipo naranda randa tu duniani huku
Vaccine utapata usitake huwezi kataa wewe alafu baadaye ukatia hasara tena government.Minnesota.
I can't take it kabisa labda nikiwa narudi home iwe hupiti airport bila kupata hiyo chanjo hapo watakuwa wameniweza.
Nishatumia ila bado.Huna dawa ya kifua hapo utumie urudi kulala?