Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Nawe pia pal.Waungwana niwatakie siku njema na yenye baraka.
Wasabato kesho hampiki siji kwenu![]()
Nawe pia pal.Waungwana niwatakie siku njema na yenye baraka.
Wasabato kesho hampiki siji kwenu![]()
Maumivu ya kile kidonda yamechangia niamsha..chupa imejua kunichimba unyayo wanguUlijua ni saa ngapi saiz?
Pole mzee wanguMaumivu ya kile kidonda yamechangia niamsha..chupa imejua kunichimba unyayo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kijanaPole mzee wangu
Nije nikubembeleze ulale ?Ahsante kijana
Acha kutembea pekupeku mamiiMaumivu ya kile kidonda yamechangia niamsha..chupa imejua kunichimba unyayo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaNije nikubembeleze ulale ?
Acha kumkatili aliyejivoluntia mamii😊😊Hapana
Maumivu ya kile kidonda yamechangia niamsha..chupa imejua kunichimba unyayo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app

Ooh unalala kwatabu kweli ukitingisha tu maumivu hayo.😀😀Acha kumkatili aliyejivoluntia mamii😊😊
Acha tuOoh unalala kwatabu kweli ukitingisha tu maumivu hayo.
Hapo itabidi uchague pozi la kulalia sasa iliusitingishe mguu.Acha tu
Wala sizingui bali namuonea huruma volunteer ☺☺😀😀
Unazingua
Haha awake mguu juu ya pillows kama mbili hivi. Na kimvua hiki sipati picha kidonda kinavyovuta.Hapo itabidi uchague pozi la kulalia sasa iliusitingishe mguu.
😀😀Wala sizingui bali namuonea huruma volunteer ☺☺