Ketamine
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 824
- 788
Mmh mwili unaninyanyasa tuu,weekend wapi,siku zote ni Monday tuu kwanguHahahahh Labda wikiend ndio mana Mwili umerespond wenyewe, umejiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh mwili unaninyanyasa tuu,weekend wapi,siku zote ni Monday tuu kwanguHahahahh Labda wikiend ndio mana Mwili umerespond wenyewe, umejiongeza
Bado saiz inanyesha huko?
Itakuwa walikata sehemu nyingi
Huwa ni wapiga keleleSio kuwa ndio wanaongea?
Hii mvua si mchezo na ka ubaridi kwa mbali daah! Unaweza hisi covid 19 imeisha


Covid haitafika hata mwezi wa 7 dawa itakuwa imekamilika.Amina iwe hivyoCovid haitafika hata mwezi wa 7 dawa itakuwa imekamilika.
Hmm Amna wanaongea bhanaHuwa ni wapiga kelele
Huku imekata
Nadhani ni Dar tu.Itakuwa walikata sehemu nyingi
Niliona kwa group pia sehemu nyingine wamekata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mwaka gani hii
Siutakandoka Sana Aisee, Kama kila Siku mchakachakaMmh mwili unaninyanyasa tuu,weekend wapi,siku zote ni Monday tuu kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki-iraq au kibarbaig?Hmm Amna wanaongea bhana
Watu hawalali wanatafuta dawa
Hile ndio style yao ya communication mzeeKi-iraq au kibarbaig?
Probably yesNadhani ni Dar tu.
Kuna hii mikoa Singida na Dodoma hawa huwa kama wanakaa peponi wanaweza kuishi hadi miezi minne umeme haujakatwa hata kwa emergency tu
Hahaha,si usiku ningekuwa nachoka,nalala mapemaSiutakandoka Sana Aisee, Kama kila Siku mchakachaka