Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Aah! Sasa hili ni tatizo kweli utalazimika kuranda tu humu hakuna namna.Nishatumia ila bado.
Aah! Sasa hili ni tatizo kweli utalazimika kuranda tu humu hakuna namna.Nishatumia ila bado.
Hahahahh utakufa Mkuu ukiugusa tuu unapita na Wewe. Tena walivyo washnz wana update Viruses zinakua more energeticMinnesota.
I can't take it kabisa labda nikiwa narudi home iwe hupiti airport bila kupata hiyo chanjo hapo watakuwa wameniweza.
Ndo kama hiviAah! Sasa hili ni tatizo kweli utalazimika kuranda tu humu hakuna namna.
Joe atakuwa president achana na huyu kigagula muda wake umekwisha mzee mtata sana.Spread inapungua sawa ila watu wanakufa majumbani mwao.
Hii habari ya kukaa ndani sio solution ndio maana Trump haitaki
Aisee pole sana au utengeneze maji ya moto + tangawizi + limau alfu unywe inaweza saidia.Ndo kama hivi
Shukran ngoja nitengeneze mda usogee.Aisee pole sana au utengeneze maji ya moto + tangawizi + limau alfu unywe inaweza saidia.
Inasaidia jaribuShukran ngoja nitengeneze mda usogee.
Ngoja tuone lakini Biden ni threat sasa kwa trumpSleepy Biden hawezi kuwa Rais brother hata kidogo Trump anapendwa yani huo mdomo wake mchafu ndio kupendwa kwake
Aisee ntakaa pembeni kwanza.
Gates hawezi tufanyia mchezo


Huwezi kwepa hii mzee saiz hamko kwenye outbreak wala kwenye peak mnaongoza dunia mchina anaficha dataHapa kwa mzee wake baba zoro nimekuelewa vizuriHapana, Ngoja uone wakiwekwa kwenye mdahalo Biden hawezi kumshinda Trump.
.
Trump ni sawasawa na babaake Banana Zoro sijui kama unamfahamu yani ni mzee ila mambo yake hatari hatari



lakini ngoja tusubirie huo mdahalo.Hii issue ni serious or rumors Huyu mzee huku naona mnamsingizia sasa aah!Gates is wanting to microchip everyone one ! Can’t not trust tis looney tune
Hizi ni comments za group letu hawa ni Americans.
he has killed or maligned many in the country of Africa with his insidious vaccine agenda, and tell me why he is still a free man. He needs to be in jail right beside his wife..
Huyu ni mmarekani anasema hivi

DahNo aja tengeneza hii corona bill manguli wote walioshinda lab wanasema huyu kiumbe ajatengenezwa anasifa fulani ambazo anaonekana hajatengenezwa ameanza kwa pangolin kisha akapita kwa popo ndio akaingia kwa binadamu sasaHaya ni maneno tu ila point kuu ni kwamba Bill ndiye aliyeunda hiki kirusi ili atengeneze vaccine na auze.
.
Jiulize swali inawezekanaje atoe 500M US$ na kuiongelea hii issue daily na shetani mwenzie Melinda? Na kwanini anasisitiza sana yani sana kuhusu chanjo.
.
Kuna interview yake aliifanya March mwishoni katamka neno vaccine mara 10 in 10 seconds


ulilala saa mbili nini?Na yule Mmarekani aliandika kile kitabu kitambo ile utasema sasa mbona tuhuma hapewi na yy mnampa gates tu?Do you think they'll ever say Gates created the virus?
Yani hii ni hela kwa Gates nyeupeee tena kilaini ndio maana aliweza kuutabiri huu ugonjwa back in 2015
Waungwana niwatakie siku njema na yenye baraka.
Wasabato kesho hampiki siji kwenu![]()



