Ketamine
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 824
- 788
[emoji23][emoji23] uko hapa kwasababu huna usingizi ungekuwa nao ungeshalala saiz lakini wale hawalali wapo na malengo yao makusudi.
Yeah! Naamini Mungu atatufanyia wepesi,[emoji23][emoji23][emoji23] Covid haitafika hata mwezi wa 7 dawa itakuwa imekamilika.
Nop! Ni kuanzia September au October just imagine mpaka ije ifike Tz ni lini na haitasambazwa in a one time kupima kaupepo. kuna mjinga mmoja anaitwa King Cuomo ni NY Governor anataka wapewe kwanza ianze kusambazwa mwezi may.[emoji23][emoji23][emoji23] Covid haitafika hata mwezi wa 7 dawa itakuwa imekamilika.
Kuna dawa ipo inatestiwa nchi 8 inaweza kutibu corona kwa 91% ni Mjapani na mchina wanaoshughulika hiyo kitu inaleta nafuu kidogoYeah! Naamini Mungu atatufanyia wepesi,
Ndio maana wana ushikaji na kuku sanaHile ndio style yao ya communication mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] Utaki vaccine MzeeNop! Ni kuanzia September au October just imagine mpaka ije ifike Tz ni lini na haitasambazwa in a one time kupima kaupepo. kuna mjinga mmoja anaitwa King Cuomo ni NY Governor anataka wapewe kwanza ianze kusambazwa mwezi may.
Vaccine nyingi side effect yake ni mbaya personally i won't take corona vaccine kabisa
hakuna mwakilishi huku kwetu?Kuna dawa ipo inatestiwa nchi 8 inaweza kutibu corona kwa 91% ni Mjapani na mchina wanaoshughulika hiyo kitu inaleta nafuu kidogo
Nop! Ni kuanzia September au October just imagine mpaka ije ifike Tz ni lini na haitasambazwa in a one time kupima kaupepo. kuna mjinga mmoja anaitwa King Cuomo ni NY Governor anataka wapewe kwanza ianze kusambazwa mwezi may.
Vaccine nyingi side effect yake ni mbaya personally i won't take corona vaccine kabisa
Uko poa
Hakuna hata nchi moja ya Afrika zote ni Ulaya na Asia katika hizo 8hakuna mwakilishi huku kwetu?
2020 nimeona movie 2 tu Blood shot na The Bad Boyz for life.
Siko poa mkuu.Uko poa
Inaonekana wako vizuri kwenye utafitiHakuna hata nchi moja ya Afrika zote ni Ulaya na Asia katika hizo 8
Itakuwa more deadly.[emoji23][emoji23][emoji23] Utaki vaccine Mzee
Kwann?Siko poa mkuu.