Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Ooh!🤣🤣🤣 kweli hiki kichwa nikibovu sijui niliwaza nn nikajua ni kinywaji ujue 🤣🤣🤣🤣🤣
Nilipaliwa na moshi [emoji377][emoji377][emoji377]
5:08
Hahahaha, haya kasali jumuiamm battery ya simu naona ndio inaishia hivyo nina 17% nitakuacha mzee mpaka majogoo ufike.
U r not alone mkuu [emoji3]Dah, niko peke yangu hapa, ngoja tu niwashe fegi nitoe ka ubaridi.
😀 😀U r not alone mkuu [emoji3]
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo bangi siku nyingine usitafune na mbegu