JamiiForums Usiku wa manane
ukatili TTCL wanaonifanyia yaan nimejiunga GB 10 ili niushushe mzigo wote ila hiyo speed yake ni matusi kwa kweli
😝😝😝 hamna kitu humo huu mtandao inategemea na sehemu mfano ukiwa buguruni hiyo kasi yake nihatari lakini kwengine ni uchafu tu.
 
Niko gud sijui upande wako?
dah hiyo kitu imenipitia kushoto kabisa sijui chochote sijawahi ona hata cover wala poster ya hiyo kitu lakini naona watu wanaisifia nzuri ndio maana jana nikamuuliza Goddess kama kashawahi kuiyona anipe maoni yake yy amesema ni mbaya lakini saiz watu wanaishindanisha na PB sasa ndio najiuliza hii series ni overrated au nn hiki
Mimi nilikuwa recommended....nikaipenda sana Season 1 hadi 3. Hii ya nne naona wamezingua...wanavuuutaaa au labda mimi nimeichoka.

Ukipata mda ichungulie
 
kipi sasa kipendwe kati ya ngono na mapenzi? au ni bora kuwa hit and run?
hit and run hazikupi furaha ya muda mrefu.unapata ile satisfcation ya muda huo tu .ukitaka uenjoy mapenzi tafuta mtu wako mmoja ambaye unaweza kuvumilia ukichaa wake na yeye aweze kuvumilia wa kwako then "kaa humo" ila inahitaji uvumilivu na msimamo
 
Mimi nilikuwa recommended....nikaipenda sana Season 1 hadi 3. Hii ya nne naona wamezingua...wanavuuutaaa au labda mimi nimeichoka.

Ukipata mda ichungulie
inahusiana na nn kwani ni drama, action au? kwahiyo inahadhi ya kushindanishwa na PB?
 
Niko gud sijui upande wako?
dah hiyo kitu imenipitia kushoto kabisa sijui chochote sijawahi ona hata cover wala poster ya hiyo kitu lakini naona watu wanaisifia nzuri ndio maana jana nikamuuliza Goddess kama kashawahi kuiyona anipe maoni yake yy amesema ni mbaya lakini saiz watu wanaishindanisha na PB sasa ndio najiuliza hii series ni overrated au nn hiki
Mm nasema mbaya nzuri ilikua 1,2 kila mtu anamaoni yake
 
yaan hata siwaelew yaan kubrowse unakimbiza ,kudownload unanyata .juzi niliwafutia GB zote 10 sasa sijui wamenikariri sura wanataka wanikomeshe
😆 😆 😆 umenogewa sasa leo wanataka mzigo uchache ww upate hasara ndio kinachoonekana hapa.
 
Back
Top Bottom