Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,570
Kimya sana, au ndo mnawaza corona😀Tupo
Kimya sana, au ndo mnawaza corona😀Tupo
We acha tu mkuuKimya sana, au ndo mnawaza corona[emoji3]
Usijali mkuu, Umoja wa mataifa umesema majaribio ya chanjo ya corona yataanzia africa.😀😀We acha tu mkuu
Night waljers[emoji89]Kumekucha
Upo bahariaNight waljers[emoji89]
Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
Voluntary home stay/lock downUpo baharia
Ww si muogaVoluntary home stay/lock down
Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
Hii kitu tusiiombee kabisa mkuuVoluntary home stay/lock down
Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
[emoji38][emoji38]siku hizi jumbe za mapenzi JF zimekuwa nyingi kupitiliza hii inaonesha hilitatizo nikubwa kwetu vijana ni kama corona kwa sasa 🙂
ukitoa pesa kwa vijana tatizo lingine linalowachanganya ni hili[emoji38][emoji38]
Tunapenda ngono ila tunahitaji mapenzi.hapo ndo balaa linapoanziaukitoa pesa kwa vijana tatizo lingine linalowachanganya ni hili
Kaka...Mzima?ukitoa pesa kwa vijana tatizo lingine linalowachanganya ni hili
SanteeZa asubuhi walinzi wenzangu.nmewalete ghahawa ya kusogezea muda[emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
Sent using Jamii Forums mobile app
kipi sasa kipendwe kati ya ngono na mapenzi? au ni bora kuwa hit and run?Tunapenda ngono ila tunahitaji mapenzi.hapo ndo balaa linapoanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
ukatili TTCL wanaonifanyia yaan nimejiunga GB 10 ili niushushe mzigo wote ila hiyo speed yake ni matusi kwa kweliKaka...Mzima?
Money Heist unaifuatilia?
Pole sana.ukatili TTCL wanaonifanyia yaan nimejiunga GB 10 ili niushushe mzigo wote ila hiyo speed yake ni matusi kwa kweli
Niko gud sijui upande wako?Kaka...Mzima?
Money Heist unaifuatilia?