JamiiForums Usiku wa manane
dah yaan sia usingizi hata naweza fika hata saa 12 hapa lakini acha nikautafute usingizi kitandani sasa maana itabidi hata nijiurumie kidogo maana this is too much Depal
 
Kunywa Lions Hill.....utasinzia chap, ni wine hiyo.
Au amka ukafue kabisa then urudi kuutafuta
 
Back
Top Bottom