Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Upo vizuri sanaSeason1 ndo ilikua nzuri na 2 kuanzia 3 midosho tu kawaida sana
Na yes nmeona season 3 hii ya leo bdo sijaangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizuri sanaSeason1 ndo ilikua nzuri na 2 kuanzia 3 midosho tu kawaida sana
Na yes nmeona season 3 hii ya leo bdo sijaangalia
Zko poa. Naona mko shift
Mzee inabidi ujipende hata kidogo weka weka hata jina zuri kidogo [emoji23][emoji23] huoni mwananchi hapo kajiita Zurri[emoji23] [emoji23] Kawaida mkuu
[emoji120][emoji120][emoji120] Amen, naamini Mungu atatupiganiaYaani ahadi ni deni kweli.
Sijasahau tuombe Mungu tumalizane na hii Pandemic salama.
[emoji23][emoji23] Katibu ana furaha chair katoka jela ya banHow is ww katibu [emoji23][emoji23]
Kwa sababu una kale kaujuzi nina imani utatengeneza ya pipa zimaSaiz ikiwezekana tuwe tunaongea kabisa [emoji23] badala ya maji.
Tunaishi mara moja tu na hatujui kama kuna second chance [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23] unatambulika vyema mzee babaAah wapi katibu ni Drizzle
Wapi saiz ww na joto leo hakuna?Mbaki salama. macho yamegoma
Shukrani..hope kila kitu kimekaa poa pande hizo
Kavu kivip bruh [emoji4]sasa mm nahusikaje hapo ila we dude ni kavu sana ujue [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile mikakati uliokuwa unapanga naye kule imeishia wapi kwani?
Em tulia Gody.. miungu hailali [emoji4]Mbaki salama. macho yamegoma
[emoji23][emoji23] sawa bhana.. angalia ukinaniii usininanii maanaMm si nananii tu hakafu nakausha
Aah wapi sina hata muda wakutengeneza mm kuna mahali nachukua tu.