JamiiForums Usiku wa manane
Haha
wahenga wanasema "sura sio roho" labda roho mbaya ipo kwenye siasa tu

Anawekewa red carpet... hapiti kwenye red carpet anapita pembeni ya red carpet...

Anafunguliwa mlango wa gari, haingii anaenda kujifungulia gari la mbele yake...

Muda wote ana mawazo tuu... anaropoka ropoka...

Cc: mahondaw
 
sema huyu bwana simfatilii kama nilivyokuwa namfatilia Barack Obama.
Ya red carpet kubwa kuliko 😂😂😂😂 kibongo bongo tunaweza sema anatafuta "kiki"
Ila stress mbaya sana akii, zinafanya hata mtu ushindwe kuwaza nje ya box.
 
wapi huko kwenu kwenye jua la kununua wakati watu tunaangaika nalo huku kumbe kuna watu mnalimiss kabisa
Yaan kuanzia hii April mpaka August jua uwa tunalitafuta na tochi.
Ni huku kwetu mjuba......imeisha hiyo
😂😂😂🏃🏃🏃
 
Yaan kuanzia hii April mpaka August jua uwa tunalitafuta na tochi.
Ni huku kwetu mjuba......imeisha hiyo
😂😂😂🏃🏃🏃
dah mnaraha sana huku kwetu muda mwengine hata fan unaona haifanyikazi kabisa.
 
Mmoja tu nikijitahidi mmoja na week mbili (kopo kubwa halafu ilo) 😀😀
Sasa Dar unapakaa we kopo haliishi mpaka lotion yenyewe unaichoka.
🤣 🤣 🤣 🤣 ukija dar au kama unashost yako muagizie tu kwakwenu huko chukua dozen kabisa iliusipate tabu.
 
Back
Top Bottom