Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 418
Bado mda
kakojoe ulale
wakuu anaejua tiba ya sleep paralysis please inanitesa vibaya sana. cc Mshana Jr
Acha kulala chali, lalia tumbo.wakuu anaejua tiba ya sleep paralysis please inanitesa vibaya sana. cc Mshana Jr
Duh pole sana, juzi nimekesha na Trinity ya Rwanda, Dar tumeingia saa NNE asubuhiNipo na kisbo from mwanza to dsm na ndo kwanza tupo manyoni (chuma ilipata breakdown maeneo ya mabuki)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanitizer GHARAMA mkuu, Bora tukanawe hospitali tuMbona unaweza fanya hivyo hawakatazi wala hakuna atakaye kuambia usinawe wanakubali mbona.
Majukumu mzee wangu inabidi nilipe madeni ya watu hakuna namna sasa.Mapema sana mkuu
Amna sio gharama unaweza tengeneza yako nilioja juzi hospitali moja hv walikuwa wanatengeneza nyingi tu ndio nikapewa chupa mbili hapo na nikaondoka na elimu pia ya kutengeneza sanitizer ila hiyo mbinu ya kwenda hospitali labda uwejirani na hospitali sasa hapo.
Karibu mzee
wana Lindo nawaaasa sana sana, stay safe!! Nyege zako zisikupelekee pabaya



