Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah mm sijui kwakweli hapa watajibu wenyewe.
Niaje hommie.
Nitakucheki pm mzee tutajua tunafanyaje kesho.
Dah... Shem upo?[emoji2960]
Ukumbuke kutoa sadakaTusali jamani.
Mie nimeamka kwa lengo hilo ila naona shetani ananipepea hapa nasinzia hata sijasali.
Naperuzi tu jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
kitu gani kinasababisha hiyo hali?
Nimekunywa chai usiku na maji mengi doh!kitu gani kinasababisha hiyo hali?
Aiseee....
Yani hapa Tena kulala saa 11 asubui!
Kuamka saa nane mchana!
[emoji2357][emoji2357] Kila nkijaribu kuacha siwezi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mbaya inasafisha njia
Itaisha tu