JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hayo sasa ndiyo maajabu ya mwenzangu, eti kisa mimi nina mafua na kikohozi,ameniweka quarantine!
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama vp muoge wote kutumia sanitizer mbona mtalala chumba kimoja tu simikula kiapo nyie kuwa kwashida na raha mtavumiliana mbona kama unavuja kiapo vile.
 
Back
Top Bottom