Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Hahahaha, nafurahi kusikia upo
Dah hommie nimeshindwa kuvaa kabisa hii mask nikiwa kwenye mambo yangu lakini nina sanitizer yakutosha tu kwanza kila hospitali nayoingia lazima unawe mikonoKijana umetisha. Sasa unaogopa kitu gani hadi uvae hayo mask ambayo yanakufanya usipumue vizuri? Kweli tutakufa kwa kihoro
Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu ni innovator hawezi kuwa abandoned na chama kabisa.
Acha utani mzee TexasNoma sana.
Toto la kibongo hilo linaishi Texas

Imenishinda mzee ila niliingia hospitali moja hv leo nikaauliza kimtego tu mask zipo akaniambia zipo lakini ni chache akaniambia huko nje zinauzwa ten sana sijajua ukweli wowote kuhusu bei ya mask maana mm sina stress nazo kuna sehemu napata bure zakutosha tu.
Wapi hapo umekutana nayeMuhari gani Wapendwa, nimekutana na Corona haooooo
Don't make a promise you can't fulfill...

Dah hommie nimeshindwa kuvaa kabisa hii mask nikiwa kwenye mambo yangu lakini nina sanitizer yakutosha tu kwanza kila hospitali nayoingia lazima unawe mikono![]()

we jamaa ni mwoga sana. Kumbe na wewe umekubwa na kihoro? Yaani unaogopa mafua namna hiyo?Nitakuwa ninakwenda hospital, kama nataka kuingia vile, nikishanawa naahirisha kuingia...Dah hommie nimeshindwa kuvaa kabisa hii mask nikiwa kwenye mambo yangu lakini nina sanitizer yakutosha tu kwanza kila hospitali nayoingia lazima unawe mikono![]()
Inabidi umsogeze karibu na ofisi kuu ya chamaHuyu ni innovator hawezi kuwa abandoned na chama kabisa.
I see we jamaa hebu wacha wengi. Huwezi kuwa mwoga wa mafua namna hiyo.Imenishinda mzee ila niliingia hospitali moja hv leo nikaauliza kimtego tu mask zipo akaniambia zipo lakini ni chache akaniambia huko nje zinauzwa ten sana sijajua ukweli wowote kuhusu bei ya mask maana mm sina stress nazo kuna sehemu napata bure zakutosha tu.
Bora muumwe woteCorona inanisumbua sana,sina raha kabisa na ndoa yangu,inabidi kila mtu alale chumba chake tusije kuambukiza.
Corona inanisumbua sana,sina raha kabisa na ndoa yangu,inabidi kila mtu alale chumba chake tusije kuambukiza.


Kama vp muoge wote kutumia sanitizer mbona mtalala chumba kimoja tu simikula kiapo nyie kuwa kwashida na raha mtavumiliana mbona kama unavuja kiapo vile.Acha nijipambanie mzee na afya yangu watu waliokuwa wizara nyeti wananipa taarifa ambazo azinilizishi lazima niweke guard mapema tu.we jamaa ni mwoga sana. Kumbe na wewe umekubwa na kihoro? Yaani unaogopa mafua namna hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaweza fanya hivyo hawakatazi wala hakuna atakaye kuambia usinawe wanakubali mbona.Nitakuwa ninakwenda hospital, kama nataka kuingia vile, nikishanawa naahirisha kuingia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hilo limepita hakuna wakupinga.
Wachana na hayo mambo, kula bata kama kawaAcha nijipambanie mzee na afya yangu watu waliokuwa wizara nyeti wananipa taarifa ambazo azinilizishi lazima niweke guard mapema tu.