Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
wana Lindo nawaaasa sana sana, stay safe!! Nyege zako zisikupelekee pabaya


Mbona maneno makali sana mzee hayo ndio kuonesha msisitizo au?wana Lindo nawaaasa sana sana, stay safe!! Nyege zako zisikupelekee pabaya


Mbona maneno makali sana mzee hayo ndio kuonesha msisitizo au?
Naenda zangu kulala na nyege zangu! Mlale salama sitaki makubwa
Mzee hiyo movie nazani usiku wako utaenda poa sana ni noma napenda sana mpangilio wa action za humo pamoja na story ni kali mnoWatching Gods of Egypt


Hahahaha nimekumbuka jambo nikaona niwakumbushe, Elimu zaidi naitolea PM haahhhaah, karibuni PMMbona maneno makali sana mzee hayo ndio kuonesha msisitizo au?
Sawa tumekuelewa kiutu uzimaNaenda zangu kulala na nyege zangu! Mlale salama sitaki makubwa
Tutakuja PM wala usijaliHahahaha nimekumbuka jambo nikaona niwakumbushe, Elimu zaidi naitolea PM haahhhaah, karibuni PM

Kwamba? Hahahaha muone
Thanks, tumeingia dar saa saba mchana mana kufika moro tukakutana na msafara.Duh pole sana, juzi nimekesha na Trinity ya Rwanda, Dar tumeingia saa NNE asubuhi
Kwamba ndio unaenda kuzimaliza hizo naniliuKwamba? Hahahaha muone


Hatukulala mkuu, chuma ilitembea usk kucha.Poleni sana!! Bila shaka mtalala hapo maana hapo mbele mkiwa pana mauza uza kama yote..
Huku kwetu kuna wadokozi leo nimeamua kusikiliza movement's za nje, sema kuna haya matone ya mvua yanataka yaniharibie stimu za kuwinda wezi
Fungua uzi mkuu, tufundishe na sisiAmna sio gharama unaweza tengeneza yako nilioja juzi hospitali moja hv walikuwa wanatengeneza nyingi tu ndio nikapewa chupa mbili hapo na nikaondoka na elimu pia ya kutengeneza sanitizer ila hiyo mbinu ya kwenda hospitali labda uwejirani na hospitali sasa hapo.
Aaghh wapi, I am a Senior Bachelor Rafiki
Pole sana, Mimi nilikaa na dingi anatoa smell Fulani hivi nzito sana na madirisha yalikua yamefungwaThanks, tumeingia dar saa saba mchana mana kufika moro tukakutana na msafara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hiyo nitakudanganya tu sitaweza kwa kweli mzee lakini siku mbuki vzr ni jana au juzi niliona uzi wa kutengeneza sanitizer ngoja nitarudi acha niutafute nikuwekee.
SureMajukumu mzee wangu inabidi nilipe madeni ya watu hakuna namna sasa.
Fanya utuwekee.Dah hiyo nitakudanganya tu sitaweza kwa kweli mzee lakini siku mbuki vzr ni jana au juzi niliona uzi wa kutengeneza sanitizer ngoja nitarudi acha niutafute nikuwekee.
Sijauona ule uzi aisee watakuwa wameshaufuta lakini unaweza mix spirit na glycerin ukaweka na maji kidogo sana.Fanya utuwekee.
Maana najua inahitajika alovera gel/vegetable glycerin ..rubbing alcohol 99%(ethanol) na essential oils (lavender or tea tree) ingawa si lazima sana
Sent using Jamii Forums mobile app