JamiiForums Usiku wa manane
Nipo na kisbo from mwanza to dsm na ndo kwanza tupo manyoni (chuma ilipata breakdown maeneo ya mabuki)

Sent using Jamii Forums mobile app

Poleni sana!! Bila shaka mtalala hapo maana hapo mbele mkiwa pana mauza uza kama yote..

Huku kwetu kuna wadokozi leo nimeamua kusikiliza movement's za nje, sema kuna haya matone ya mvua yanataka yaniharibie stimu za kuwinda wezi
 
Back
Top Bottom