JamiiForums Usiku wa manane
Hapana najaribu kuwa productive, kama usingizi sina basi angalau najua nikisoma soma nagain kitu na nikichoka kusoma najua pia siwezi kulala so hata nikifua nitakua nimefanya jambo la maana kuliko kuingia bed alafu najigeuza geuza mpaka saa moja bila kulala.
Aiseh ningekusaidia kujigeuza geuza kama ungekuwa Ke.. kukosa usingiz kutapunguza urembo wako ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana najaribu kuwa productive, kama usingizi sina basi angalau najua nikisoma soma nagain kitu na nikichoka kusoma najua pia siwezi kulala so hata nikifua nitakua nimefanya jambo la maana kuliko kuingia bed alafu najigeuza geuza mpaka saa moja bila kulala.
Mimi nilikua nawaza, hawa waandishi wa tunavyovisoma walianzaje kuandika? Mbona Mimi naona kabisa naweza kuwa mwandishi but how do I start? Hicho ndio kilininyima usingizi but slept later hahaha
 
Back
Top Bottom