Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 534
Unaandika mwenyewe au wenge la usingizi, au ndo unatumia tekno Y1?soma tena ulichoandika, nincompoop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandika mwenyewe au wenge la usingizi, au ndo unatumia tekno Y1?soma tena ulichoandika, nincompoop.
Inategemea mkuu unaandika kitu gani, kama una life experience ambayo unaona unaweza kuiweka katika maandishi na ika influence wengine positively kama autobiograph ya Sydney Sheldon (The Other Side Of Me) unaweza kuandika. Kama una imagination na expertise kwenye field flani unaweza pia kuandika vitabu vya kufundisha kuburudisha kama akina John Grisham au James H. Chase. Kila kitu kinawezekanaMimi nilikua nawaza, hawa waandishi wa tunavyovisoma walianzaje kuandika? Mbona Mimi naona kabisa naweza kuwa mwandishi but how do I start? Hicho ndio kilininyima usingizi but slept later hahaha
GTH MOFO.Unaandika mwenyewe au wenge la usingizi, au ndo unatumia tekno Y1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko gud tu.Powa sana. Wewe je?
Kwema tu huku mzee
Nisha bet hela yangu nimemuekea huyu kipara mapema tu.Tyson Fury Vs Deontay Wilder
Hahaha umeongezea ada za watoto wa kihindi bro, umeliwaNisha bet hela yangu nimemuekea huyu kipara mapema tu.
[emoji38][emoji38][emoji38] aah wapi leo subirieni maiti yenu tu.Hahaha umeongezea ada za watoto wa kihindi bro, umeliwa
[emoji2][emoji2][emoji2] bado muda mchache tu, tukalishe mtu wenu[emoji38][emoji38][emoji38] aah wapi leo subirieni maiti yenu tu.
Mapopo
[emoji38][emoji38][emoji38] we tamba tu, lakini kaaukijua leo ndio payback yenu.[emoji2][emoji2][emoji2] bado muda mchache tu, tukalishe mtu wenu
Usikimbie bro[emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38] we tamba tu, lakini kaaukijua leo ndio payback yenu.
Aah wapi labda we ndio unikimbie sasa mm sina matatizo kabisa na kipara namuamini ananinyukia mtu leo hamta amini kabisa.Usikimbie bro[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ngoja tusubiri broAah wapi labda we ndio unikimbie sasa mm sina matatizo kabisa na kipara namuamini ananinyukia mtu leo hamta amini kabisa.