simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo creativity tu mzee mambo ya kusomea sio sana japo kuna vichwa vyenye elimu karee kuliko tutorial za youtube. Hapo ndo mtihani hujaDah hiyo coz naipenda sana lakini sijawahi somea Ila nilishafanyaga makubwa kidogo kupitia hiyo kitu wayback kidogo watu waliniona genius kumbe fala tu [emoji23][emoji23][emoji23]