Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,570
Mkuu, unawaweza kushiriki kumbukumbu hiyo. Samahani lakini.Dah nilivyoona jina lako nimemkumbuka mwanangu curry [emoji22]
Mkuu, unawaweza kushiriki kumbukumbu hiyo. Samahani lakini.Dah nilivyoona jina lako nimemkumbuka mwanangu curry [emoji22]
Ortiz alishindwa kazi leo nimemleta kipara sasa maana alikuwa ananiambia bro huyu nigger aliniotea naomba ni pate rematch yangu nikamwambia poa utapata sasa leo akishindwa kazi namleta AJ amalize shughuli kabisa.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ngoja tusubiri bro
[emoji2][emoji2][emoji2]maneno hayo broOrtiz alishindwa kazi leo nimemleta kipara sasa maana alikuwa ananiambia bro huyu nigger aliniotea naomba ni pate rematch yangu nikamwambia poa utapata sasa leo akishindwa kazi namleta AJ amalize shughuli kabisa.
Ni mchezaji wa kikapu anaitwa Stephen Curry aliumia mwaka jana alivunjika mkono toka ameumia team imekuwa mbovu sana anarudi match ndio atakuwa amepona kabisa.Mkuu, unawaweza kushiriki kumbukumbu hiyo. Samahani lakini.
Jamaa anajua hadi basiNi mchezaji wa kikapu anaitwa Stephen Curry aliumia mwaka jana alivunjika mkono toka ameumia team imekuwa mbovu sana anarudi match ndio atakuwa amepona kabisa.
View attachment 1366737
[emoji38][emoji38][emoji38] leo kaniambia lazima mtu abebwe na ambulance hatoki bure we subiria balaa lake utaliona.[emoji2][emoji2][emoji2]maneno hayo bro
Alaa kumbe, yema kabisa, sisi wengine mpira wa kikapu umetupita kushoto.Ni mchezaji wa kikapu anaitwa Stephen Curry aliumia mwaka jana alivunjika mkono toka ameumia team imekuwa mbovu sana anarudi match ndio atakuwa amepona kabisa.
View attachment 1366737
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa anajimwambafi tu[emoji38][emoji38][emoji38] leo kaniambia lazima mtu abebwe na ambulance hatoki bure we subiria balaa lake utaliona.
Mtu aliefanya mchezo wakikapu uonekane mrahisi ni huyu mwana zile shots anazorusha ni balaa tupu.Jamaa anajua hadi basi
Account yangu ya IG imejaa sana picha za kikapu kuna mwana alikuja dm nilimuelekeza kila kitu akaanza kujifunza kucheza na yy lakini yy aliniambia anaishi mbeya.Alaa kumbe, yema kabisa, sisi wengine mpira wa kikapu umetupita kushoto.
[emoji38][emoji38][emoji38] sasa sianaamini leo lazima atoekipigo[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa anajimwambafi tu
Aah wapi safari bado ni ndefu sana ikifika June ujue mwaka umeisha sasa.Mwezi ndio umeisha, naiona June kwa mbele hapo.
Kafungwa [emoji22] au
Mi mpira wa miguu nilikuwa napenda kipindi fulani, kama goalkeeper, shida ya macho sijui ilitokea wapi, nikawa sioni vyema. Nikawa nikisimama golini mipira inapita tu.😀😀😀. Nikaamua kustaafu kukwepa fedheha zaidi.Account yangu ya IG imejaa sana picha za kikapu kuna mwana alikuja dm nilimuelekeza kila kitu akaanza kujifunza kucheza na yy lakini yy aliniambia anaishi mbeya.
Kabsa bro, na bado jamaa hata kimo chake sio kivile, lakini ana balaa la hatariMtu aliefanya mchezo wakikapu uonekane mrahisi ni huyu mwana zile shots anazorusha ni balaa tupu.
Aisee pole sana ndio kipaji kimekufa hivyo kuwa shabiki tu ukimiss kucheza tafuta PlayStation zilipotu ujifurahishe mzee wangu.Mi mpira wa miguu nilikuwa napenda kipindi fulani, kama goalkeeper, shida ya macho sijui ilitokea wapi, nikawa sioni vyema. Nikawa nikisimama golini mipira inapita tu.[emoji3][emoji3][emoji3]. Nikaamua kustaafu kukwepa fedheha zaidi.
Aah wapi safari bado ni ndefu sana ikifika June ujue mwaka umeisha sasa.