simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Af naona imeshaanza battery low hapa.. ntapotea ghafla hommie..aah wapi hiyo trap imenikosa kabisa sijanasa kabisa humo mzee wangu.
Wishing ya lindo jema in advance mkuu
Af naona imeshaanza battery low hapa.. ntapotea ghafla hommie..aah wapi hiyo trap imenikosa kabisa sijanasa kabisa humo mzee wangu.
Wanalipwa UD 65 kwa viewers 1000 sasa piga kwa 1M utajua ni shlngp.na alikuwa na video zaidi ya moja na watu wakaicheki fresh tu. Hapo kwenye malipo ndo sijawahi kupaelewa fresh
Kama kawa dude, uko Njema kabisa?Oi oi oi.
Mzukaaa?
frsh hommie.Af naona imeshaanza battery low hapa.. ntapotea ghafla hommie..
Wishing ya lindo jema in advance mkuu
Kama kawa dude, uko Njema kabisa?
Kitambo mwananchi umepotea humu ujaonekana.Niko njema bob!
Kitambo mwananchi umepotea humu ujaonekana.
Ee kakukimbia tena kwahiyo ndio ukaamua kupotea mazima mzee wangu.Katikati ya wiki kunazingua sana, angalau weekend kunakuwa poa.
Halafu kuna mchuchu humu kanikimbia, nina hasira napo.
Ee kakukimbia tena kwahiyo ndio ukaamua kupotea mazima mzee wangu.
Kwani siungeinshi naye PM tu mzee wangu.Hapa nakuwa nakuja kuangalia amekuja au hajaja?
Kwani siungeinshi naye PM tu mzee wangu.
Lakini online unamuonaga kuwa upo active isijekuwa hata text zako hazijafika huko pm I mean derived.PM hajibu sasa hivi, na namba yake niliyonayo imefungiwa.
Lakini online unamuonaga kuwa upo active isijekuwa hata text zako hazijafika huko pm I mean derived.
😆😆 dah basi mzee wangu give up tu fungu la kukosa hilo tena lishakuwa tena tafuta mwengine tu JF mbona kubwa hii naamini hukosi humu.Ha ha ha, nimepita kote huko.
Yaani hata kuingia humu anaingia kwa kuibia
😆😆😆 dah tumesoma kilazima caption.Wazee wa mida mibovu jumamosi mmeiona?View attachment 1365689
😆😆 dah basi mzee wangu give up tu fungu la kukosa hilo tena lishakuwa tena tafuta mwengine tu JF mbona kubwa hii naamini hukosi humu.
Au bado unamatumaini kuwa hizo text zitajibiwa au unaweza muona siku kwenye hizo platforms zingine?Sawa mkuu.
Ngoja nianze mwanzo.
Au bado unamatumaini kuwa hizo text zitajibiwa au unaweza muona siku kwenye hizo platforms zingine?
Ni move nzr kama umeshaanza kuifanya.Nimeshaanza kuzoea mkuu.