Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Naona mshatepeta teyari acha nipige zangu ibada sasa
Usiku mwema walizi wote.
Usiku mwema walizi wote.
Why not? Thinking of something? Someone?😀
As for me insomnia.Who is on night shift like me? What’s are you doing? Why are you still up?

+03:09
I am just sitting here on my study, drinking my tea, reading a book. If i get tired i will try to sleep but i know i won't sleep this night, may be until the next one.
Nampango ikifika saa kumi nifue kabisa mpaka sa 12 😂😂Ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana.
Nampango ikifika saa kumi nifue kabisa mpaka sa 12 😂😂
Hapana najaribu kuwa productive, kama usingizi sina basi angalau najua nikisoma soma nagain kitu na nikichoka kusoma najua pia siwezi kulala so hata nikifua nitakua nimefanya jambo la maana kuliko kuingia bed alafu najigeuza geuza mpaka saa moja bila kulala.Hahaha, hapo unajaribu kuumaliza usiku kwa lazima.