JamiiForums Usiku wa manane
Kesho hatakuwa Mr perfect tena ni Mr nothing au new beggar in town ngoja kesho aanze maisha tena


Tuishi na watu vizur aisee huwezi jua au huwezi kutegemea yupi atakuwa msaada kwako kwenye tatizo embu ona hao waizi wamekuwa msaada kwangu sikutegemea watanifundishia mtu adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii statement ulioandika ni moja ya principal ya maisha yangu respect everyone ni kitu muhimu sana hujui kesho yako ipoje adabu ni kitu chamshingi sana.
 
Back
Top Bottom