simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Kazi yako hii [emoji23][emoji23][emoji23].. bora niwe naaga kimya kimyaSaa 0100 ishafika babu au umenogewa? [emoji23]
Kazi yako hii [emoji23][emoji23][emoji23].. bora niwe naaga kimya kimyaSaa 0100 ishafika babu au umenogewa? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] acha apate somo kwanza sikaingia mjini akiambiwa usije mjini anaona anaonewa.Fanya umuelekeze
AlwaysHumbleness pays...
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulishawahi ona kijiwe cha kahawa story zinaisha?Kazi yako hii [emoji23][emoji23][emoji23].. bora niwe naaga kimya kimya
Sana mkuu,mi nina mifano mingi ktk hiliTrue Emeka.. respect muhimu sana hata kwa yule unaeona hastahili, sometimes hata adui yako anaweza kukuokoa kama ulionesha moyo wa imani kwake
Nawe pia bibie.Usiku mwema....mbakie salama.
Na kwako pia mkuuUsiku mwema....mbakie salama.
Hapana ila Inabidi usepe ukiona story hazikubariki tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulishawahi ona kijiwe cha kahawa story zinaisha?
Upo blessed kuona mengi hata hekima zinakuwepo sanaaSana mkuu,mi nina mifano mingi ktk hili
Ndio kama humu muda mwingine story haziishi humu inabidi ukimbie tu mwenyewe.Hapana ila Inabidi usepe ukiona story hazikubariki tu [emoji23]
Etii Usiku mwema na Saidi mwema ni nduguUsiku mwema....mbakie salama.
Ngoja nikimbie [emoji23][emoji23]Ndio kama humu muda mwingine story haziishi humu inabidi ukimbie tu mwenyewe.
Poa fam [emoji109]Ngoja nikimbie [emoji23][emoji23]
Usiku mwema nawe pia.Usiku mwema....mbakie salama.
Nikweli mkuuUpo blessed kuona mengi hata hekima zinakuwepo sanaa
Baba mmoja mkuu😂😂😂
Zitafika kabla ya JuneVurugu yote ya kuchat kwenye huu uzi hatijafikisha post hata laki 1!