Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Amani na iwe kwenu waungwana
Iwe rohoni kwako pia
Amani na iwe kwenu waungwana
Kuzimiwa inaumiza [emoji4][emoji23][emoji23] kusajili kila mtu atasajili tu swala ni muda tu.
Sio poa mkuu. Msamehe jamaa na umsaidie pengine ataanza kukuheshimu [emoji23]00:17
Nimechungulia dirishani nimeona wavu wameuchana kwelikweli hata kwa mbali unaweza ona kwa mbali ndani huyu watakuwa wamemsafishia room ila wale guardian angel .au..noble soul wawili siwaoni tena ngoja tuone kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
chiqutitta yeye kaona post yangu kaishia ku-like tu, PM kimya.Chagua kati ya Chikutita na Tshala mwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo majina ulio waita sasa dah nimecheka sana usiku wote huu.00:17
Nimechungulia dirishani nimeona wavu wameuchana kwelikweli hata kwa mbali unaweza ona kwa mbali ndani huyu watakuwa wamemsafishia room ila wale guardian angel .au..noble soul wawili siwaoni tena ngoja tuone kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo leo ndio payback yake anapata kwa aliyokufanyia.
Ahsante kama ni kweliNaanzaje kutokukupenda?
Af wanapita dirisha kwa dirisha. Zamu yake inakuja [emoji23][emoji23][emoji3][emoji23] huwa unanichekesha mtaa wenu kila siku wezi!!!
Nawe rohoni mwako.Amani na iwe kwenu waungwana
Ahsante kama ni kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] kinoma sana na ss siwaoga tumejaa kwenye 18 zao.Ila TCRA wamejambisha watu sana
Tatizo watu mnashindwa kukubaliana na Udhaifu/matatizo mliyonayo.Ila TCRA wamejambisha watu sana
sasa ww siunajifanya mtukutu au ndio wale aliosema Paul makonda wapiga umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuzimiwa inaumiza [emoji4]
AmeenNawe rohoni mwako.
Huyo Tshala ndio kwanza leo kaingia humu. Mvumilie..
Cha msingi tujue tu kuna watu huwa wanaamka asubuhi na majozi au matatizo nadhani kesho Mr perfect atakuwa miongoni mwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo majina ulio waita sasa dah nimecheka sana usiku wote huu.
Wahuni sio watu wazuri.
Ila watazima hawajasamehe[emoji23][emoji23][emoji23] kinoma sana na ss siwaoga tumejaa kwenye 18 zao.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba we kavu sana ujue! we sio wa kumfanyia jirani yako Mr P hv unamfanya mwenzio anze maisha na upya kesho.Cha msingi tujue tu kuna watu huwa wanaamka asubuhi na majozi au matatizo nadhani kesho Mr perfect atakuwa miongoni mwao
Wengine wanaamka kwa furaha nadhani wale jamaa wataamka na furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi tutulie tu hakuna namna.Ila watazima hawajasamehe