JamiiForums Usiku wa manane
Waganga Mungu ana waona.
Eti ukiona hupati PM anza kuandika JF mara kwa mara stori za gari yangu imefanya hivi,
Mara nilimuazima gari jirani karudisha chafu,
Kisha andika nyumba zangu sipangishi mtu maskini.
Kama kidukulilo,mkuu maisha hayapo ivyo jikubali tu,usipretend,baki na ulichonacho....lasivyo utaibika
 
Back
Top Bottom