JamiiForums Usiku wa manane
Kesho hatakuwa Mr perfect tena ni Mr nothing au new beggar in town ngoja kesho aanze maisha tena


Tuishi na watu vizur aisee huwezi jua au huwezi kutegemea yupi atakuwa msaada kwako kwenye tatizo embu ona hao waizi wamekuwa msaada kwangu sikutegemea watanifundishia mtu adabu
mwamba we kavu sana ujue! we sio wa kumfanyia jirani yako Mr P hv unamfanya mwenzio anze maisha na upya kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom