Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Siku hizi watu wamekuwa wavivu sana
Kuja lindoniWavivu wa kufanyeje??
Kuja lindoni
Salamu zako zimetufikia, tuandalie kahawa ninaleta kashataWalinzi mlikuwepo hapa nawaslimia...hata wale wanaopita na kugonga likes pia nawasalimu mpo na sisi kiroho
Kitanda kibovu sioTulio kosa usingiz ndio tuna pita pita mtaaani saizi
Macho si yataingia ndani?!Now watching Moana
Kwanini love..Macho si yataingia ndani?!