mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Ahsante..... Hongera saana kwa kuamka saa 8 nashauri uutumie muda huo kusoma vitabu pia kuwasiliana na Muumba wako...hope tutakuwa pamoja huku siku kwa sikuNalala ila ikifika saa8 usingizi unakata naanza kukesha ila nashukuru nipo na wenzangu humu tunafarijiana! Pia nashukuru kupata member mpya karibu sana..

...msalimie sana bi shost