Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
šhata ukikosa ukikosa eeh
We sema asanteš
Awamu nyingine lini.
Jumamosi kuamkia Jumapili, saa nane kamili.
šhata ukikosa ukikosa eeh
We sema asanteš
Awamu nyingine lini.
šAny body active here
Hapana kiongozi sijawakimbia ila Nleterewa Nganengo aliniambukiza ugonjwa wa kugeuza usiku kuwa mchanaMbona umetukimboa.?
Wakuu wenye video zile tuonane pm Kabla sijamaliza lindo
Nmeona jina felister, nmemkumbuka dada mmoja hivi jina kama hilo tumesoma nae chuo, mdada alikua mzuri kishenzi, halaf black beauty, nilitamani sana kumtomba ila jitihada hazikufua dafu, niliishia kupigwa bonge la busu shavuni tu, dah
Mkuu mbona umetumia lugha kali sana
Mm nipo macho wife ananinyima sasa miezi kadhaa na usingiz huwaga sipati.hasa nikitafakari mtu anaye mla mke wangu zaidi ni pale ninapo fikiria je anamla kwa ustaarabu?yaaan da ndoa ya moto sana.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Mm nipo macho wife ananinyima sasa miezi kadhaa na usingiz huwaga sipati.hasa nikitafakari mtu anaye mla mke wangu zaidi ni pale ninapo fikiria je anamla kwa ustaarabu?yaaan da ndoa ya moto sana.
Kwamba wee ndugu tangu 2016 hujawahi kulala?Poa,karibu