Ohooh, yani pamoja na kuhudhuria kote maombi bado arosto ipo, Lord hv mercy..Hayo ya saiba kraimu tuachane nayo kwanza, mzee mwenzangu naomba unitumie japo ya kununulia ugoro, nina kiu mbaya!
Hahaha, tatizo lako unamikogo sana kwa damu changa, si tulikubaliana tusitiane wivu?Ushaanza uchochezi wako....hivi utaacha lini hiyo tabia yako ya kunifatiliafatilia mzee mwenzio?
Jasiri haachi asili.Ohooh, yani pamoja na kuhudhuria kote maombi bado arosto ipo, Lord hv mercy..
Tulikubaliana lini? Weka mezani hiyo hati ya makubaliano ionwe na kila mlinzi hapa!Hahaha, tatizo lako unamikogo sana kwa damu changa, si tulikubaliana tusitiane wivu?
Umeanza mbwembwe zako sioe, hayo maneno niliona umetumia mahali na mimi nikaigaJasiri haachi asili.
Tafadhali nitafsirie hayo maneno matatu ya mwisho kwa kipare mi sielewi hicho kindengereko chako bwana!
Mkuu kama kuna nafasi ya mpiga marimba tukaribishane.Hakuna kulala,leo ni kupiga kinanda tu mpaka asubuhi
Hivi kumbe umezeeka na kale katabia kako ka uongo eeeh?Umeanza mbwembwe zako sioe, hayo maneno niliona umetumia mahali na mimi nikaiga
Wakikukaribisha utawaharibia usiku...huo mruzi tu huwezi kupiga, utaweza kupiga marimba?Mkuu kama kuna nafasi ya mpiga marimba tukaribishane.
Njia ya mwongo ni fupi hiwezi kuzeeka, mimi nimsema kweli daima hata wewe ni shahidi, sema tu ndo vile mbege imeshachanganyikana na medulaHivi kumbe umezeeka na kale katabia kako ka uongo eeeh?
Aisee, kaone kalivo na majungu, unataka huu ujuzi nife nao?Wakikukaribisha utawaharibia usiku...huo mruzi tu huwezi kupiga, utaweza kupiga marimba?
Ebu kwanza... inamaana walinzi wote wametususia lindo peke yetu? Mbona siwaoni wenzetuAisee, kaone kalivo na majungu, unataka huu ujuzi nife nao?
Dah, kwamba ndo ushasahau Big G kwa karanga za kuonjeshwa, anyway ngoja nisubiri hizi tarehe za mshahara zisogee kidogo huenda kumbukumbu zitarudi.Tulikubaliana lini? Weka mezani hiyo hati ya makubaliano ionwe na kila mlinzi hapa!
Aisee, naona umeamua kuzuga, wakati naona hapa kwenye tekinolojia yangu umewahamishia pm?Ebu kwanza... inamaana walinzi wote wametususia lindo peke yetu? Mbona siwaoni wenzetu
kwanini Don?
Habari za masikuEbu kwanza... inamaana walinzi wote wametususia lindo peke yetu? Mbona siwaoni wenzetu
Niliwezautaweza?

NakusalimiaEbu kwanza... inamaana walinzi wote wametususia lindo peke yetu? Mbona siwaoni wenzetu