Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,418
Kilimo cha usiku au?Nina mtaji wa kama 5Mil nataka kuwekeza kwenye kilimo. Naombeni ushauri maana najua humu kuna watu wa kada tofauti tofauti!

Tupo macho yanguMpo?
Wewe ni Ke au Me?Mpo?
SemaWadau
HamjamboSema
Hamjambo na naniHamjambo
Hivi zuri uliwaza nini ukajiita zuriUle uzi mkongwe wa "Usiku wa manane" upo au ndio mwenda zake?
Mlioko hapa lindoniHamjambo na nani
Daah kumbe huku sioUle uzi mkongwe wa "Usiku wa manane" upo au ndio mwenda zake?
Niko poa. .wengine watakua poa pia..vipi huko kwenuMlioko hapa lindoni