Watu wako piemu hukoHivi ni mimi tu ndio niko macho muda huu au namna gani
Daah aisee wanaingia piemu usiku huu hawaogopi?Watu wako piemu huko
Nawe waenda hukohuko?[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
....na iwe rohoni kwako mtumishi......Amani ya Bwana iwe daima nanyi.
....na iwe rohoni kwako mtumishi......
Tupo, lindo langu leo halina taa.Walinzi hamuonekaniView attachment 1160046
Tupo, lindo langu leo halina taa.
C mchezoHili lindo linahitaji kupeana motivation aisee.
Iwe pia nawe DonAmani ya Bwana iwe daima nanyi.
Leo mmeniacha nimelinda peke yanguHili lindo linahitaji kupeana motivation aisee.