THAN0S
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 756
- 728
Una mpango wa kulima kwani mvua bado zinanyesha hukoMida hii tunabaki watafutaji wa viwanja
Maana vijana wa dar mvua zikinyesha tu mnataka kulima
Una mpango wa kulima kwani mvua bado zinanyesha hukoMida hii tunabaki watafutaji wa viwanja
Hahahaha, SawaNdio niko, mbona nakuona pia.
Pita ndani, unatumia kinywaji ganiNgo ngo ngo....
Mimi me mkuu!!Mkuu siku zote najuwa wewe ni ke kumbe ni me!!!!,pole na lindo aisee pamoja na mvua.
Pita ndani, unatumia kinywaji gani
Kwema mkuu??Tangawizi
Pita ndani, unatumia kinywaji gani
Tangawizi
Kwema mkuu??
Kuelekea 1st June,Madrid,umejiandaaje
Maji ya nazi [emoji2][emoji2][emoji2]
Ningependa kukijua hiki kinywaji kaka
Tangawizi yenyewe ambayo siyo kinywaji unaijua?
Soda au...?Tangawizi
[emoji134][emoji134][emoji134]
Nimebakiwa na makande tuYameisha?
Nimebakiwa na makande tu
HayaNitakuja kula Daku...asante sana
Kweli mkuuVijana wameenda chimbo, ila mechi ni ngumu aisee.
Chochote kinaweza kutokea.