Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Night kali daily
Inategemea na location.....
Night kali daily
Mie bukheri wa afya, hofu kwako swahiba!Hujambo Rafiki
Hahahaha, unafichwa sanaMie bukheri wa afya, hofu kwako swahiba!
We upo location ?Inategemea na location.....
Tayari kesho imesha fika, nipo hapa nakusubiria..tehUshaunga, ukalale sasa. kesho mgeni wako....jiandae
We upo location ?
Tayari kesho imesha fika, nipo hapa nakusubiria..teh
Sijambo mkuuKwema hujambo


Wazee wa lindo ..Muda wa roll call umefika
Hivi mpaka 45 si kijana?Vijana tunaenda wapi?
Watu wanatumikia ndoa zao..Mbona kumetulia sana humu.. Nasikia sauti za bundi na vyura tuu..
Au mmelala![]()
Hivi mpaka 45 si kijana?
Na wewe unafanya nini huku sasa hiviWatu wanatumikia ndoa zao..
Nimekuja kuchunga mzigo wangu..Nilijua utakwepo hukuNa wewe unafanya nini huku sasa hivi