Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Umeniwahi dada ake!!ningendako naomba nikusalimie
Nilitaka nikusalimie,,anyway..
Mambo vipi bbade habari za siku?unaendeleaje huko
Niliwamiss sana hapa ndani
Umeniwahi dada ake!!ningendako naomba nikusalimie
Heshima yako Amigo!00:02.
Napita Kuwasalimu
Kwema Boss Lindo Naona Mdo MdoHeshima yako Amigo!
Kwema Boss Lindo Naona Mdo Mdo
Ha ha haDada ake mzima kabisa....nashukuru.
Mtuambukize na sisi hizo mechi za 90mins. ..tuwaelewe
Kwema kabsa,habari ya uzima chief?Wanazengo!! Kwema humu
Salama mkuu00:02.
Napita Kuwasalimu
Ado Ado, wengine wanalinda ndoa zao sasa
Ha ha ha
Ni fainali ya UEFA champions league kati ya Liverpool na Totenham,itafanyika tarehe 1 mwezi June,kwenye uwanja wa Wanda Metropolitan,jijini Madrid.
Ni shabiki wa timu ipi kati ya hizo dada ke
Ndio ule mzizi naufahamu sana
Exactly, unatengeneza juice yake. Unachanganya na maji unachemsha kama chai.
Ha haHapo sina timu. ....
Usiniulize yangu ipi. ...hata sijui tuko wapi kwenye table. ...
Nitaisubiria, maana walifanya waingereza wauze magazeti sana. ..
Ndio kinywaji changu daily. ..kumbe....haya karibu nikutengenezee
Kwema kabsa,habari ya uzima chief?
Sure. Kiongozi Leo Sitokuwepo Lindoni Napita Nitarudi Kama Ikiwezekana
Namshukuru Munga chief,kila kitu kipo sawaSafi comrade Za majukumu