dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
InapendezaNamshukuru Munga chief,kila kitu kipo sawa
Watu hawaonekani hapa sikuhizi
InapendezaNamshukuru Munga chief,kila kitu kipo sawa
Salama kabisa sijui wwNawasabahi .....
Tuko bize na mwezi mkuuInapendeza
Watu hawaonekani hapa sikuhizi
Aisee, ngoja nikuulizeTuko bize na mwezi mkuu
Hapana unajilia tunda vizuri tu kuanzia pale utakapofungua mpaka mwanzo wa kufunga yaani kuanzia saa kumi na nusu usiku hivi mpaka ile kumi na mbili jioni wakati wa kufunguaAisee, ngoja nikuulize
Et ndani mwezi wa ramadhani kwa wanandoa hamruhusiwi kula chakula cha usiku mpaka mwezi uishe?
Jibu safi sana mkuuHapana unajilia tunda vizuri tu kuanzia pale utakapofungua mpaka mwanzo wa kufunga yaani kuanzia saa kumi na nusu usiku hivi mpaka ile kumi na mbili jioni wakati wa kufungua
PamojaJibu safi sana mkuu
Pita ndani, unatumia kinywaji gani
Ngo ngo ngo....
Tangawizi
Maji ya nazi![]()
HahahahaNingependa kukijua hiki kinywaji kaka
Soda au...?
Ndio ule mzizi naufahamu sana
Yameisha?
Nimebakiwa na makande tu
Nitakuja kula Daku...asante sana
HahahahaHaya
Dah...ha ha ha
usiku mwaka

Wewe mtuBujiku ng'waka!
Bado saana jamaniHumu naona wote wamelala
Bado saana jamani
Hahaha hahaha....Haha,nilijua umeshalewa daku![]()