Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Nililala mapema
Leo imekuwaje?
Maana nimezoea ukipatikana ni ile mida ya ufunguzi.
Leo imekuwaje?
Maana nimezoea ukipatikana ni ile mida ya ufunguzi.
N
Naomba tukutane huko tuyajenge
Nililala mapema
Finishing kama hautojaliKhaaa nishamaliza kujenga. ...nafanya matengenezo kwa sasa
Okay, karibu sana.
Finishing kama hautojali
Asante, napita tu usiniandalie kinywaji.
Wacha niombe tetemeko liharakishe nyufaTayari hiyo. ...nikipata nyufa nitakutaarifu ...


Si mbaya ukitia baraka hata kwa kikombe kidogo cha kahawa
Nikeshe eehh? ??
Nilikuwepo Kaka. ..![]()
Kwa juhudi za shetani nitafanikiwa nadhaniNa ushindwe![]()
Mida hii ya wanaohitaji kuyajenga, wenye mijengo yenu muishie saa mbili jamaniNa ushindwe![]()
Mida hii ya wanaohitaji kuyajenga, wenye mijengo yenu muishie saa mbili jamani
Huu Uzi sijauelewa..... Ni na madhumuni,Umeona nini?

Mida hii tunabaki watafutaji wa viwanjaWamesikia
Huu Uzi sijauelewa..... Ni na madhumuni,
Rules and conditions![]()
Mida hii tunabaki watafutaji wa viwanja