Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Basi mwanadamu asilimia kubwa ya maisha yake anaitumia ujananiSijui...labda mpaka 55 hivi
Basi mwanadamu asilimia kubwa ya maisha yake anaitumia ujananiSijui...labda mpaka 55 hivi
Swalama hapa!Sijambo Dada....karibu Lindoni
Na kwako pia mkuuAmani ya bwana iwe nanyi.
Mkuu siku zote najuwa wewe ni ke kumbe ni me!!!!,pole na lindo aisee pamoja na mvua.Na kwako pia mkuu
Swalama hapa!
Nzuri, za kwako?
Nzuri bali Swaumu kali sana..Nzuri, za kwako?
Nzuri pia.
Nzuri bali Swaumu kali sana..
Najiona kwa pm yakoAbee
🙏🏿🙏🏿 ShukranUnamalizia sasa jikaze. .
Najiona kwa pm yako
Teh. ..iwe na roho yako
Naomba tukutane huko tuyajengeAnasemaje PM?